Madilu System

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jean de Dieu Makiese (28 Mei 1952 – 11 Agosti 2007), aliyefahamika kama Madilu System , alikuwa muimbaji wa Soukous na muandishi wa nyimbo aliyezaliwa Léopoldville, Belgian Congo. Alikuwa wakati mmoja katika bendi ya TPOK Jazz,bendi iliyoongoza katika Miziki za Kufana za Afrika kwenye mika za 1960 na 1970.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Obituary, The Independent , 22 Septemba 2007