Morenita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Morenita
Morenita Cover
Studio album ya Soukous Stars
Imetolewa 1993
Aina Soukous
Urefu 37.46
Lebo Galaxy Sound Studios na Studio Harry Son
Mtayarishaji Soukous Stars


Morenita ni jina la kutaja albamu ya kundi zima la muziki wa dansi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama Soukous Stars. Albamu imetoka mwaka wa 1993. Sehemu kubwa ya utayarishaji wa albamu hii ulifanyika nchini Ufaransa katika studio za Galaxy Sound Studios na Studio Harry Son.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya nyimbo pamoja na watunzi wake. Katika muziki wa Afrika, mara nyingi njia ya usambazaji wa muziki ilikuwa kanda au tepu hivyo jambo la upande A na B ni la kawaida sana.

Upande Jina la wimbo Mtunzi Dakika
A1 Robin Pretty Lucien Bokilo 5:24
A2 Sophia Lokassa Yambongo 5:41
A3 Morenita Ballou Canta 5:15
A4 Rhoda Ngouma Lokito 5:55
B1 Rosy Shimita 5:40
B2 Aba Guimo Philippe "Saladin" Ferreira 5:58
B3 Cayina Yondo Sister 5:13

Kikosi kazi[hariri | hariri chanzo]

  • Besi gitaa – Ngouma Lokito
  • Dramsi – Ti Jean
  • Mtayarishaji Mkuu – Emma Helou, Mustapha Sesay
  • Vinanda - Abdul Mbacki
  • Vinanda, Filimbi, Saxofonie – Andy Suzuki
  • Gitaa Kiongozi – Saladin*
  • Mtayarishaji - Soukous Stars
  • Mpiga Rizimu Gitaa – Lokassa ya mbongo*
  • Sauti - waimbaji – Ballou Canta, Lucien Bokilo, Shimita, Yondo Sister

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]