Sani Abacha
Mandhari
Jenerali Sani Abacha (20 Septemba 1943 – 8 Juni 1998) alikuwa kiongozi wa kijeshi na mwanasiasa wa Nigeria. Kuanzia mwaka wa 1993 hadi kifo chake mwaka wa 1998 alikuwa Rais wa kumi wa nchi hiyo.
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Abacha alizaliwa mjini Kano tar. 20 Septemba mwaka 1943.
Urais
[hariri | hariri chanzo]Abacha alitanguliwa na Rais Ernest Shonekan.
Kama Rais, Abacha alifahamika sana kwa udikteta.
Baada ya kifo cha Abacha, akashika madaraka Abdulsalami Abubakar aliyekaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja tu, kisha uchaguzi wa kitaifa ukapita.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sani Abacha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |