Ernest Shonekan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chief Ernest Adegunle Oladeinde Shonekan
Chief Ernest Adegunle Oladeinde Shonekan

Ernest Adegunle Oladeinde Shonekan (amezaliwa tar. 9 Mei 1936 mjini Lagos, Nigeria) alikuwa rais wa tisa kwa nchi ya Nigeria. Shonekan pia ni mwanasheria aliyesomea sheria nchini Uingereza. Pia ni mmiliki wa kiwanda na pia mwanasiasa. Alichaguliwa kama rais wa muda wa Nigeria na Jeneral Ibrahim Babangida mnamo tar. 26 Agosti, mwaka 1993. Alikuwa rais kwa miezi mitatu tu.

Ernest Shonekan alitanguliwa na Ibrahim Babangida, kisha akafuatiwa na Jenerali Sani Abacha.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernest Shonekan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.