Sandra Achums

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sandra Achums ni Mnigeria anayefanya kazi ya televisheni, mfadhili, na muhimu zaidi ni mwigizaji mkongwe wa kike.[1][2][3]

Maisha ya Awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Sandra Achums alizaliwa katika Jimbo la Imo.[4] ambalo liko katika sehemu ya kusini-mashariki mwa taifa la Afrika Magharibi; Nigeria.Alipata elimu yake ya msingi, sekondari na vyuo vikuu vyote katika jimbo la Lagos, alihudhuria chuo kikuu cha jimbo la Isolo Lagos.[5]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Achums mnamo mwaka 1995 aliingia kwenye soko la uigizaji la Nigeria na filamu inayoitwa Deadly Affair, Ambapo aliigiza na waigizaji wakongwe kutoka Nollywood;Dolly Unachukwu, Jide Kosoko, na Emeka Ike.[6] Filamu hii ilikua nzuri sana na ndipo safari yake ya uigizaji ilipoanzia.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Mamo mwaka 2006 Achums alihama kutoka Nigeria kwenda Ujerumani[7] na anaishi huko na watoto wake[8][9] na mume wake aitwaye Tony.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Who Is Sandra Achums? | Biography | Profile\ History Of Nollywood Actress Sandra Achums – Daily Media Nigeria". dailymedia.com.ng (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-01. Iliwekwa mnamo 2017-11-30.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. Rucky. "Veteran Actress, Sandra Achums Welcomes Baby Boy In Germany (Photos) - Naija news Naij news". ngr.ng (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-01. Iliwekwa mnamo 2017-11-30.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named :0
  4. "Actress, Sandra Achums Shares Lovely Photos Of Herself And Daughter", Nigeriafilms.com. (en-gb) 
  5. "Sandra Achums Archives - Motherhood In-Style Magazine". Motherhood In-Style Magazine (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2017-11-30. 
  6. "Sandra Achums". IMDb (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-11-30. 
  7. Latestnigeriannews. "Actress Sandra Achums Welcomes Baby Number 4 In Germany". Latest Nigerian News. Iliwekwa mnamo 2017-11-30. 
  8. "Ex-Nollywood Actress, Sandra Achums Shows Off Her Kids and Family In Germany (Photos) - Gistmania". 
  9. Latestnigeriannews. "Nollywood Actress, Sandra Achums Welcomes Baby Boy In Germany (Photos)". Latest Nigerian News. Iliwekwa mnamo 2017-11-30.