San Jose, California

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mji wa San Jose, California
Jiji la San Jose
Nchi Marekani
Jimbo California
Wilaya Santa Clara
Idadi ya wakazi
 - 939,899
Tovuti: www.sanjoseca.gov
CAMap-doton-San Jose.png

San Jose (IPA: sænhoʊˈzeɪ) ni mji mkubwa wa jimbo la Kalifornia (Marekani) na pia mji mkubwa wa tatu jimboni. Iko kusini kabisa ya mji wa San Francisco.

Idadi ya wakazi ni 989,496 na pamoja na rundiko la mji ni watu milioni saba.

Jina la San Jose ni la Kihispania, maana yake ni "Mtakatifu Yosefu". Jina lake linatokana na lile la misheni ya Ndugu Wadogo iliyoanzishwa kwa heshima ya mtakatifu huyo.


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
California blank map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Jose, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.