Salha Israel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Salha Israel (alizaliwa tar.) ni mwanamitindo na mwigizaji wa filamu nchini Tanzania (bongo movies).[1].

Alivishwa taji la Miss Tanzania mwaka 2011/2012 mara baada ya kuwabwaga wenzake 29[2]. na kujinyakulia zawadi nono yenye thamani ya Shilingi Za Kitanzania milioni themanini kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar-es-Salaam.[3] [4]

Kazi yake[hariri | hariri chanzo]

Alikuwa miss Tanzania mwaka 2011/2012 na kufanikiwa kuingia thelathini bora katika mashindano ya urembo (beuty with purpose)[5] na hatimaye kujikita kwenye tasnia ya uigizaji mara baada ya msimu wake wa urembo kuisha.[6].

Filamu alizowahi kuigiza[hariri | hariri chanzo]

Kupitia kampuni ya RJ COMPANY, alifanikiwa kuigiza filamu yake ya kwanza iitwayo Bad luck.[7].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salha Israel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.