Sakura Hirose

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sakura Hirose (alizaliwa 9 Septemba 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya JEF United Chiba inayoshiriki ligi ya Yogibo WE huko Japani. Sakura alicheza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi ya Yogibo WE mnamo 20 Septemba 2021.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Sakura Hirose". 
  2. "Scoresheet - 2021-22 Yogibo WE League". Japan Women's Empowerment Professional Football League. 2021-10-16. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 October 2021. Iliwekwa mnamo 2021-10-16.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sakura Hirose kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.