Sad Journey
Mandhari
Mwandishi | Amini Cishugi |
---|---|
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
Lugha | Kiingereza |
Aina | Bunilizi, Fantasia |
Mchapishaji | Wattpad |
Sad Journey ni riwaya iliyoandikwa na mwandishi Amini Cishugi.
Kitabu hiki kilichapishwa kwa Kiingereza mara ya kwanza kwenye Wattpad mnamo Mei 2017.[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sad Journey kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |