Hadithi ya Anna Beckinsales Marie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hadithi ya Anna Beckinsales Marie ni mfululizo wa riwaya za maigizo ya drama iliyoandikwa na mwandishi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Amini Cishugi.

Riwaya zinaeleza maisha ya msichana Anna Beckinsales Marie, na jamaa yake kama vile wazazi na shangazi yake Carmen Pulver, wote waliishi Montreal.

Riwaya ya kwanza ni kuhusu maisha ya Anna wakati akiwa mudogo. Tangu kutoka kwake, mufulizo ilipata umaarufu mkubwa, sifa kubwa na ufanisi wa kibiashara kikanda katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wamevutia watazamaji wazima na wasomaji wadogo na mara nyingi huchukuliwa kama maandishi ya vitabu vya kisasa vijana wa kisasa huko Kivu.

Vitabu[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hadithi ya Anna Beckinsales Marie kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.