Nenda kwa yaliyomo

Ruud van Nistelrooy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ruud van Nistelrooy

Rutgerus Johannes Martinus "Ruud" van Nistelrooy (kuzaliwa 1 julai 1976) ni mchezaji wa zamani wa soka na kocha kutoka nchi ya Uholanzi.

Alicheza kama mshambuliaji na yupo katika wafungaji bora wa tano wa Ligi ya mabingwa Ulaya akiwa na magoli 56. Aliwahi kuwa mfungaji bora wa Ligi ya mabingwa Ulaya mara tatu, pia amekuwa mfungaji bora katika ligi mbalimbali barani Ulaya.

Kwa sasa ni kocha wa klabu ya soka ya PSV Eindhoven ya umri chini ya miaka 19.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ruud van Nistelrooy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.