Rubén Isidro Alonso
Mandhari
Ruben Isidro Alonso (maarufu kama "Padre Cacho"; 1929 – 1992) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki kutoka Uruguay.
Alonso alizaliwa katika jiji la Montevideo. Akiwa kasisi mashuhuri aliyefahamika kwa kuishi maisha ya mtaani, alifanya kazi na watu maskini zaidi nchini Uruguay, akiishi nao katika maeneo ya cantegriles (vitongoji duni).
Mnamo mwaka 2014, Askofu Mkuu wa Uruguay, Daniel Sturla, aliomba kwa Papa mchakato wa kumtangaza Alonso kuwa mtakatifu.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Arzobispo pide al Papa que se declare santo al padre Cacho". El Observador. 6 Septemba 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-28. Iliwekwa mnamo 2024-11-27.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) (Kihispania)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |