Royal Media Services

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Royal Media services Ltd ni kampuni ya magazeti, televisheni, na redio, nchini Kenya.Kwa Kiswahili,Kiingereza na Lugha ya mama.Inachapisha magazeti ya Citizen Weekend na Monday Special Royal Media ina stesheni moja ya televisheni, Citizen Tv na stesheni zao za redio ni kumi na nne.