Rosa Ree

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Rosa Ree (rapa))

Rosary Robert Iwole (anajulikana kama Rosa Ree, alizaliwa Aprili 21, 1995) ni mwimbaji wa muziki wa hip hop kutoka Tanzania.[1][2][3][4][5][6][7][8][9]

Maisha na elimu[hariri | hariri chanzo]

Rosa Ree alizaliwa Moshi, Tanzania .[10][11] Alilelewa Arusha na alitumia muda kidogo wa utoto wake nchini Kenya. Alimaliza elimu yake ya msingi huko Narobi, Kenya katika Shule ya Msingi Ainsworth na Rudolf Steiner Primary. [12]Aliendelea na masomo yake ya sekondari katika shule ya Askofu Mazzoldi.[13]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2015, Rosa Rose alizindua taaluma yake ya muziki na alisainiwa katika Lebo ya Nahreel iitwayo The Industry Studios. Alitoa wimbo wake wa kwanza One Time[14][15] mwaka 2016. Mnamo mwaka 2020 alishiriki katika BET 2020 Hip Pop Cypher pamoja na Kwesi Arthur kutokea nchini Ghana na Elizabeth Ventura kutokea nchini Angola.[16]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

  • Its Your Birthday (2021)
  • Wote ft Snake Fire, Barkeliam, DIZ Afrikana & Ray Medya (2021)
  • Satan (2021)
  • That Gal (2020)
  • Usiyempenda Kaja (2020)
  • Kanyor' Aleng (2020)
  • Kupoa (2020)
  • Nazichanga ft Roberto (2020)
  • Balenciaga (2020)
  • Sukuma Ndinga (2020)
  • Sukuma Ndinga Remix ft Rayvanny (2020)
  • Asante Baba (2019)
  • Alamba Chini ft Spice Diana, Gigi Lamayne & Ghetto Kids (2019)
  • Acha Ungese ft Fik Fameica (2019)[17]
  • What You Know (2020)
  • Nguvu Za Kiume (2019)
  • Champion ft Ruby (2019)
  • Asante Baba Remix ft Timmy Tdat (2019)
  • Dip n' Whine it ft Gnako (2019)
  • Banjuka (2018)
  • One Way (2018)
  • Way Up ft Emtee (2018)[18][19]
  • Marathon ft Billnas (2018)
  • Dow (2019)[20]
  • Champion ft Ruby (2020)
  • Up in the Air (2017)
  • One Time (2017)
  • One Time Remix ft Khaligraph Jones (2017)[21]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Rosa Ree: I’m not dating Timmy TDat, he can’t seduce (en-US). Nairobi News (2019-04-13). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  2. Rosa Ree aeleza sababu ya AY na Diamond kumkubali – Bongo5.com. bongo5.com. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  3. is Timmy Tdat dating Rosa Ree? investigatory facts debunked (en-US) (2019-03-29). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  4. BBC World Service - This Is Africa, Rosa Ree (en-GB). BBC. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  5. Catherine Nderitu, Catherine Nderitu (2019-06-27). Rosa Ree: the baddest Rapper in Tanzania (en-US). Ghafla! Kenya. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  6. Josh Ruby (2019-12-12). Rosa Ree features Spice Diana, Ghetto Kids on 'Alamba Chini' | VIDEO (en-US). MBU. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  7. Dex Antikua (2021-05-03). 3 Qualities Rosa Ree Wants In A Man (en-US). VIBE MTAANI. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  8. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-06-29. Iliwekwa mnamo 2022-05-01.
  9. Branny Mutali, Branny (2020-04-29). Rosa Ree enlists Rayyvanny in new song "Sukuma Ndinga" (en-US). Ghafla! Kenya. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  10. Things you didn't know about Tanzanian singer Rosa Ree - Opera News. ke.opera.news. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-01-28. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  11. Tracy Gesare. Why I am a goddess – Tanzanian rapper Rosa Ree (en). Standard Entertainment. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  12. Zadock Thomas (2020-09-30). Rosa Ree Biography, Career, Education, Boyfriend, Family and Net Worth (en-GB). The East African Feed. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  13. David Kingsley (2019-08-26). Timmy Tdat's bae Rosa Ree is back with a diss track 'What You Know' (Audio) (en-US). Ghafla! Kenya. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
  14. Soundcity (2016-11-21). Rosa Ree's 'One Time' and Stanley Enow's 'Follow Me' are new entries on #AfricaRoxCountdown this week (en-US). Soundcity. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  15. ♫ Listen to One Time by Rosa Ree (en). www.smubuafrica.com. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  16. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-07-02. Iliwekwa mnamo 2022-05-01.
  17. Precious Michael (2019-10-23). Rosa Ree – Acha Ungese ft. Fik Fameica MP3 DOWNLOAD (en-GB). NaijaVibes. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  18. Kevin Jasper (2018-06-04). DOWNLOAD MP3: Rosa Ree – Way Up ft. Emtee (en-GB). NaijaVibes. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  19. Rosa Ree – Way Up ft Emtee — Afro Muziki (en-US) (2018-06-06). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  20. Audio: Rosa Ree - Dow | MP3 Download (english). Bongo Exclusive. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  21. Rosa Ree Ft Khaligraph Jones - One Time Remix.mp3| Mino (en). mino.notjustok.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-10-18. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rosa Ree kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.