Baraza la Sanaa la Taifa
Mandhari
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lilianzishwa mwaka 1984 kupitia sheria ya serikali kwa lengo la kuwa chombo cha kuratibu na kukuza sanaa, muziki, na sanaa za maonesho nchini Tanzania. Baraza la Muziki la Taifa (BAMUTA) lililoanzishwa mwaka 1974, liliunganishwa na BASATA wakati wa kuanzishwa kwake[1][2].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Baraza la Sanaa la Taifa". BASATA.
- ↑ "The National Arts Council (BASATA)". Government of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-07. Iliwekwa mnamo 2017-07-04.
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Baraza la Sanaa la Taifa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |