Roosa Ariyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Roosa Funmilayo Ariyo
Amezaliwa 13 Juni 1994
Finland
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Roosa Funmilayo Ariyo (alizaliwa 13 Juni 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria aliyezaliwa Finland ambaye anacheza katika klabu ya Real Betis katika ligi ya Primera División na timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria.[1]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Ariyo alilelewa katika mji wa Helsinki na Baba yake ni mnaijeria.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Roosa Funmilayo Ariyo - Spelarstatistik". Svensk fotboll (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo 21 June 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Roosa Ariyo". Bridgeport. Iliwekwa mnamo 19 June 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Roosa Ariyo". Monroe Community College Athletics. Iliwekwa mnamo 19 June 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roosa Ariyo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.