Roland Brown

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Brown wa pili kushoto akiwa na Mwalimu Nyerere

Roland Brown alikuwa Mwingereza wa kwanza kuhudumu kama Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanganyika iliyokuja kuwa sehemu ya Tanzania baadaye.[1]

Maisha ya awali na taaluma[hariri | hariri chanzo]

Brown alikuwa mkufunzi katika chuo cha Trinity College, Cambridge katika Chuo kikuu cha Cambridge, wakati wa harakati za uhuru wa Tanganyika; aliteuliwa kuwa mshauri mkuu wa Mwalimu Julius Nyerere.[2]

Tanzania[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 1961 aliteuliwa kuwa Mwanasheria mkuu wa kwanza baada ya uhuru wa Tanganyika.[3] Baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 yaliyoangusha utawala wa kisultani, Brown aliteuliwa na Mwalimu Nyerere kuandaa hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.[4]

Mwaka 1965 alimaliza muda wake na nafasi yake ikachukuliwa na Mark Bomani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "JOAN WICKEN". tzaffairs.org. Iliwekwa mnamo 4 January 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Charles Parkinson (22 November 2007). Bills of Rights and Decolonization: The Emergence of Domestic Human Rights Instruments in Britain's Overseas Territories. Oxford University Press. ku. 231–. ISBN 978-0-19-923193-5.  Check date values in: |date= (help)
  3. James Clagett Taylor (1963). The Political Development of Tanganyika. Stanford University Press. ku. 197–. ISBN 978-0-8047-0147-1.  Unknown parameter |url-access= ignored (help)
  4. Godfrey Mwakikagile (2008). The Union of Tanganyika and Zanzibar: Product of the Cold War?. Intercontinental Books. ku. 117–. ISBN 978-0-9814258-5-6. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roland Brown kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.