Robin Olsen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robin Olsen

Robin Patrick Olsen (alizaliwa 8 Januari 1990) ni mchezaji wa soka wa Sweden ambaye anacheza katika klabu ya AS Roma kama kipa.

A.S. Roma[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 2018, Olsen alisaidia Sweden kufikia Robo fainali ya Kombe la Dunia la kwanza tangu Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 1994 kutoka kwa hatua ya makundi . Mnamo tarehe 24 Julai 2018, Olsen alisaini mkataba wa miaka mitano na klabu ya Italia iitwayo A.S. Roma na ada ya taarifa ya karibu 12,000,000 .

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robin Olsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.