Robert Mambo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Robert mambo)
Robert Mambo
Youth career
Bandari FC
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
1996–1997Nyoka F.C.
1997–2000Coast Stars
2001K.A.A. Gent
2001–2002K.R.C. Gent-Zeehaven
2002–2003Coast Stars
2003–2004K.A.A. Gent05 00(0)
2004Örebro SK12 00(1)
2005–2006Viking FK19 00(5)
2006–2007BK Häcken42 0(12)
2007–GIF Sundsvall35 00(7)
Timu ya Taifa ya Kandanda
Kenya54 (15)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 1 Agosti 2009.

† Appearances (Goals).

‡ National team caps and goals correct as of 8 Aprili 2009

Robert Mambo Mumba (alizaliwa mnamo 25 Oktoba 1978) ni mwanakandanda aliyekuwa kiungo cha kati wa kimataifa wa Kenya.

Klabu yake ya awali (hadi mwaka wa 2006) ilikuwa Viking F.K. nchini Norway. Vilabu alivyochezea hapo awali ni pamoja na Örebro SK, BK Häcken na K.A.A Gent, na yeye alizichezea vilaby vya Coast Stars na Tusker FC kabla ya kuhamia Ulaya.

Mambo Mumba amecheza mechi 50 za kimataifa na ameifungia timu ya taifa ya Kenya mabao 15. Alishiriki katika Kombe la Mataifa ya Afrika ya mwaka wa 2004. Mambo Mumba ndiye alikuwa nahodha wa timu ya taifa ya Kenya, baada ya kustaafu kwa Musa Otieno ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Cleveland City Stars nchino Marekani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Mchezaji Soka wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Mambo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.