Robert Mambo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Robert Mambo
Youth career
Bandari FC
Senior career*
Miaka Timu Apps (Gls)
1996–1997 Nyoka F.C.
1997–2000 Coast Stars
2001 K.A.A. Gent
2001–2002 K.R.C. Gent-Zeehaven
2002–2003 Coast Stars
2003–2004 K.A.A. Gent 05 00(0)
2004 Örebro SK 12 00(1)
2005–2006 Viking FK 19 00(5)
2006–2007 BK Häcken 42 0(12)
2007– GIF Sundsvall 35 00(7)
Timu ya Taifa ya Kandanda
Kenya 54 (15)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 1 Agosti 2009.

† Appearances (Goals).

‡ National team caps and goals correct as of 8 Aprili 2009

Robert Mambo Mumba (alizaliwa mnamo 25 Oktoba 1978) ni mwanakanda wa kiungo cha kati wa kimataifa wa Kenya ambaye anachezea klabu ya Uswidi ya GIF Sundsvall.

Klabu yake ya awali (hadi mwaka wa 2006) ilikuwa Viking F.K. nchini Norway. Vilabu alivyochezea hapo awali ni pamoja na Örebro SK, BK Häcken na K.A.A Gent, na yeye alizichezea vilaby vya Coast Stars na Tusker FC kabla ya kuhamia Ulaya.

Mambo Mumba amecheza mechi 50 za kimataifa na ameifungia timu ya taifa ya Kenya mabao 15. Alishiriki katika Kombe la Mataifa ya Afrika ya mwaka wa 2004. Mambo Mumba ndiye alikuwa nahodha wa timu ya taifa ya Kenya, baada ya kustaafu kwa Musa Otieno ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Cleveland City Stars nchino Marekani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Flag of Kenya.svg Makala hii kuhusu Mchezaji Soka wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Mambo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.