Robert Lewandowski
Mandhari
Robert Lewandowski (alizaliwa Warsaw, Polandi, tarehe 21 Agosti 1988) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa klabu ya Bayern Munich na wa timu ya taifa ya Poland.
Timu ya kwanza kuichezea ni Znicz Pruszkow ya Poland baada ya hapo alihamia klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani akawa mfungaji bora wa ligi hiyo.
Baada ya hapo alihamia Bayern Munich kwa uhamisho huru na akafanikiwa kushinda kombe la bundsiliga na kuwa mchezaji bora wa ligi hiyo na tarehe 22-9-2015 alifunga magolimatano ndani ya dakika tisa walipokuwa wakicheza dhidi ya klabu ya Wolfsburg.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robert Lewandowski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |