Robert Fumulani
Mandhari
Robert Fumulani (1948 – 1998) alikuwa mwanamuziki na mfanyabiashara wa nchini Malawi.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Fumulani ameelezewa kama "mmoja wa waongozaji wa bendi maarufu zaidi Malawi, mwishoni mwa miaka ya 1980 na 1990", [1] na kama "msanii wa muziki wa kitaifa aliyebarikiwa". [2] Alikuwa sehemu ya kizazi cha waimbaji wa kiume ambao maudhui yao yalikuwa kuhusu maisha, lakini hayana maudhui ya kisiasa. [3] Katika miaka ya 1980 alikuwa mshindi mara tatu wa tuzo ya Malawi ya "Entertainer of the Year". Tuzo hii ilikua inamaanisha yeye ni mtumbuizaji bora wa mwaka.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ LaVoie, Matthew (Februari 26, 2008). "Musical Sunshine from Malawi". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-06. Iliwekwa mnamo Januari 5, 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ William Kamkwamba and Bryan Mealer, The Boy Who Harnessed the Wind (HarperCollins, 2009), p. 29.
- ↑ Kalinga, Owen J. M. (2012). Historical Dictionary of Malawi. Scarecrow Press. uk. 329. ISBN 0810859610.
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robert Fumulani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |