Rita Gani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rita Gani mnamo 2016

Rita Binti Gani (alizaliwa 11 Mei 1977 huko Sabah, Malaysia ) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa chama cha soka cha Malaysia . Pia ni Koplo katika jeshi la Polisi la Malaysia, [1] alianza kuchezesha mpira wa miguu mwaka 2004 na alioorodheshwa kwenye orodha ya kimataifa ya FIFA ya waamuzi mwaka 2006. [2]

Alichaguliwa kuwa mwamuzi bora mwanamke wa mwaka katika mashindano ya AFC mnamo mwaka 2014 baada ya kuchezesha mechi sita katika mashindano ya kombe la AFC la wanawake nchini Vietnam ikiwa ni pamoja na nusu fainali kati ya Australia na Korea Kusini. [3] [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Two women cops make nation proud by flying Malaysian flag at Womens FIFA World Cup". May 15, 2015. Iliwekwa mnamo June 13, 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. FIFATV (June 4, 2015). "Referees at the FIFA Women's World Cup Canada 2015™: RITA GANI". Iliwekwa mnamo June 13, 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Asian Football Confederation (November 30, 2014). "AFC Women Referee of the Year: Rita Binti Gani". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 June 2015. Iliwekwa mnamo June 13, 2015.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. "Rita pengadil terbaik AFC". December 2, 2014. Iliwekwa mnamo June 13, 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rita Gani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.