Rita Dominic

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Rita Dominic
Ritadominic.jpg
Rita Dominic akiwa ugwaji wa tuzo za African Movie Academy Awards mjini Abuja, Nigeria, Aprili 2008
Amezaliwa Rita Uchenna Nkem Dominic Waturuocha
12 Julai 1975 (1975-07-12) (umri 45)
Mbaise, Imo State, Nigeria
Kazi yake Mwigizaji

Rita Uchenna Nkem Dominic Waturuocha[1][2] (amezaliwa tar. 12 Julai 1975 mjini Mbaise, Imo State, Nigeria)[3] ni mwigizaji filamu kutoka nchini Nigeria.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Rita Dominic ni mmoja kati ya wanachama wa Famili ya Kifalme ya Waturuocha ya Aborh Mbaise huko Imo State. Yeye ni mdogo kuzaliwa katika familia ya ndugu wanne.[4] Wazazi wake baadaye wakawa jishughulisha na masuala ya tiba; baba yake alikuwa daktari na mama yake ofisa wa uuguzi.[5] Dominic alimaliza elimu yake ya msingi na sekondari huko mjini Abia State, Nigeria, kabla ya kuelekea zake katika Chuo Kikuu cha Port Harcourt, ambapo alikuja kupata digrii (BA) ya masuala ya Sanaa na Uigizaji mnamo mwaka 1999.

Shughuli za sanaa[hariri | hariri chanzo]

Dominic alianza kucheza filamu tangu akiwa mdogo, ameonekana katika michezo ya shule na vipindi vya televisheni ya watoto huko mjini Imo. Kunako mwaka wa 1998, ameonekana kwenye filamu kwa mara ya kwanza ilikuwa A time to kill. Akabahatika kujishindia tuzo ya City People Awards mnamo 2004 akiwa kama Mwigizaji Bora w Filamu wa Kike.[6] Ameonekana katika filamu zaidi ya 100 zilizotayarishwa na Nollywood.

Filmografia[hariri | hariri chanzo]

 • Saidi's Song (2009)
 • White Waters (2008)
 • True Lies (2008)
 • Yankee Girls (2008)
 • A Better Place (2007)
 • Caught-Up (2007)
 • Immaterial (2007)
 • Yahoo Millionaire (2007
 • All I Have (2006)
 • Connected Firm (2006)
 • Dancing Heart (2006)
 • Girls Cot (2006) (with Genevieve Nnaji & Ini Edo)
 • Jealous Heart (2006)
 • Last Offence (2006)
 • Married for Money (2006)
 • Million Dollar Sisters (2006)
 • Saviour (2006)
 • Show Girls: Face of Africa 3 (2006)
 • Spirit of Love (2006)
 • Sweet Sound (2006)
 • Total Control (2006)
 • Unbreakable Affair (2006)
 • Wedding Fever (2006)
 • 2 Face (2005)
 • The Begotten (2005)
 • Bless Me (2005)
 • C.I.D (2005)
 • Desperate Billionaire (2005)
 • Face of Africa (2005)
 • Guys on the Line (2005)
 • Joshua (2005)
 • Kill the Bride (2005)
 • Last Game (2005)
 • Love Story (2005)
 • More Than Gold (2005)
 • Never Too Far (2005)
 • Only Love (2005)
 • Orange Groove (2005)
 • Suicide Lovers (2005)
 • Ultimate Crisis (2005)
 • Wheel of Change (2005)
 • All My Life (2004)
 • Blood Diamonds (2004)
 • Goodbye New York (2004)
 • I Believe in You (2004)
 • Indecent Act (2004)
 • The Ingrate (2004)
 • Last Wedding (2004)
 • Lost Paradise (2004)
 • Love After Love (2004)
 • Love Temple (2004)
 • Nights of Riot (2004)
 • Schemers: Bad Babes (2004)
 • Singles & Married (2004)
 • Sweet Love (2004)
 • True Romance (2004)
 • Working Class Lady (2004)
 • Accidental Discharge (2003)
 • Back from America (2003)
 • The Intruder (2003)
 • Lean on Me (2003)
 • Love You Forever (2003)
 • A Night to Remember (2003)
 • Street Life (2003)
 • Throwing Stones (2003)
 • To Love a Thief (2003)
 • Unforgetable (2003)
 • Aba Riot (1999)
 • Face of a Liar (1999)
 • My Guy (1999)
 • Prisoner of Love (1999)
 • Children of Terror (1998)
 • A time to kill (1998)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]