Rita Akarekor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rita Akarekor (alizaliwa 13 Februari 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza katika klabu ya Delta Queens katika Ligi Kuu ya wanawake ya Nigeria na timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria kama golikipa. Alikuwa golikipa bora zaidi katika Ligi Kuu ya Wanawake ya Nigeria mwaka 2016 na kuchaguliwa kama golikipa muhimu zaidi katika ligi hiyo.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rita Akarekor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.