Riola Xhemaili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Xhemaili (2022)

Riola Xhemaili (alizaliwa Machi 5, 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uswisi ambaye anacheza kama kiungo wa timu ya wanawake ya SC Freiburg na timu ya taifa ya Uswisi.[1]

Maisha yake[hariri | hariri chanzo]

Xhemaili ana dada mkubwa na pacha yake Rion. Baba yake na wajomba zake wawili walikuwa pia wachezaji mpira. Kuanzia chini ya miaka 11 hadi chini ya miaka 15 alicheza mpira wa miguu nafasi ya kiungo pamoja na Rion kwenye klabu ya Solothurn .[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Riola Xhemaili". Playmaker Stats. Iliwekwa mnamo 7 March 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Riola Xhemaili: Den Traum Stets Vor Augen". Football.ch. 7 September 2020. Iliwekwa mnamo 7 March 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Riola Xhemaili kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.