Richard Kwitega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Richard Nkingwa Kwitega (Ngoma, wilaya ya Sengerema, mkoa wa Mwanza, 15 Julai 1965 - wilaya ya Babati, mkoa wa Manyara, 3 Februari 2021) alikuwa katibu tawala wa mkoa wa Arusha hadi alipofariki kwa ajali ya gari. [1][2]

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Richard Kwitega alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi Majahida kuanzia mwaka 1975 hadi mwaka 1978. Mwaka 1979 Kwitega alihamia shule ya msingi Ngoma hadi alipohimitimu mwaka 1982.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Kwitega kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.