Riccardo Giacconi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Riccardo Giacconi

Riccardo Giacconi (amezaliwa 6 Oktoba, 1931) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Italia aliyehamia Marekani baadaye. Hasa alichunguza mionzi ya eksirei kutoka nyota. Mwaka wa 2002, pamoja na Raymond Davis na Masatoshi Koshiba, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Riccardo Giacconi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.