Masatoshi Koshiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Masatoshi Koshiba 2002.jpg

Masatoshi Koshiba (amezaliwa 19 Septemba, 1926) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichunguza mambo ya nyota, pia anajulikana kwa kutatua fumbo la nyutrino za jua. Mwaka wa 2002, pamoja na Raymond Davis na Riccardo Giacconi, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Masatoshi Koshiba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.