Rhoda Edward Kunchela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Rhoda Edward Kunchela ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Katavi kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017