Revillagigedo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya funguvisiwa.

18°49′N 112°46′W / 18.817°N 112.767°W / 18.817; -112.767Coordinates: 18°49′N 112°46′W / 18.817°N 112.767°W / 18.817; -112.767

Kasoko za kisiwa San Benedicto.

Revillagigedo ni funguvisiwa lenye asili ya volikano katika bahari ya Pasifiki maarufu katika biolojia na ekolojia.

Ni sehemu ya jimbo la Colima, lakini chini ya serikali kuu ya Meksiko.

Mnamo Julai 2016 Revillagigedo imeorodheshwa na UNESCO kama urithi wa dunia,[1] na mnamo Novemba 2017 imefanywa hifadhi ya taifa.

Eneo lote ni km2 157.81. Wakazi ni 50 hivi.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Archipiélago de Revillagigedo (en). United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization. Iliwekwa mnamo 19 July 2016.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Revillagigedo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.