Dodo (ndege)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Raphus)
Dodo | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Maeneo yaliyokaliwa na dodo (nyekundu)
|
Dodo (Raphus cucullatus; kutoka Kiing.: dodo) alikuwa moja ya spishi mbili za ndege ya nusufamilia Raphinae katika familia Columbidae. Aliishi kisiwani kwa Morisi na vijisiwa vyake lakini alikwisha mnamo miaka ya 1690. Spishi nyingine ilikuwa njiwa mtembeaji (Pezophaps solitaria) wa kisiwa cha Rodrigues. Jamaa wao aliyeishi hadi sasa ni njiwa wa Nikobari (Caloenas nicobarica; Nicobar pigeon) wa Asia ya Kusini na ya Kusini-Mashariki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- The Dodo Cartoon Blog Archived 1 Machi 2011 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu ndege fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dodo (ndege) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |