Raphael Michael Japhary
Mandhari
Raphael Michael Japhary ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CHADEMA. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Moshi Mjini kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Raphael Michael Japhary kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |