Kucha-bukini
Mandhari
(Elekezwa kutoka Randia)
Kucha-bukini | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kucha-bukini domo-refu
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 8, spishi 11:
|
Kucha-bukini ni ndege wadogo wa familia Bernieridae. Wanafanana na kucha na zamani waliainishwa katika familia kadhaa kama Pycnonotidae, Sylviidae na Timaliidae. Wana rangi ya majani au ya zaituni juu na nyeupe, njano na/au rangi ya machungwa chini. Wanatokea Madagascar tu katika misitu ya mvua au savana kavu. Hula wadudu.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Bernieria madagascariensis, Kucha-bukini domo-refu (Long-billed Bernieria)
- Crossleyia xanthophrys, Kucha-bukini Nyushi-njano (Madagascar Yellowbrow)
- Cryptosylvicola randrianasoloi, Kucha-bukini Mfichifichi (Cryptic Warbler)
- Hartertula flavoviridis, Kucha-bukini Kidari-njano (Wedge-tailed Jery)
- Oxylabes madagascariensis, Kucha-bukini Koo-jeupe (White-throated Oxylabes)
- Randia pseudozosterops, Kucha-bukini wa Rand (Rand's Warbler)
- Thamnornis chloropetoides, Kucha-bukini Mabawa-kijani (Thamnornis Warbler)
- Xanthomixis apperti, Kucha-bukini wa Appert (Appert's Tetraka)
- Xanthomixis cinereiceps, Kucha-bukini Utosi-kijivu (Grey-crowned Tetraka)
- Xanthomixis tenebrosa, Kucha-bukini Kijivucheusi (Dusky Tetraka)
- Xanthomixis zosterops, Kucha-bukini Miwani (Spectacled Tetraka)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Kucha-bukini domo-refu
-
Kucha-bukini koo-jeupe
-
Kucha-bukini mabawa-kijani
-
Kucha-bukini miwani