Kucha-bukini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kucha-bukini
Kucha-bukini domo-refu
Kucha-bukini domo-refu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Sylvioidea (Ndege kama kucha)
Familia: Bernieriidae (Ndege walio na mnasaba na kucha-bukini)
Jenasi: Bernieria Bonaparte, 1854

Crossleyia Hartlaub, 1877
Cryptosylvicola Goodman, Lagrand & B.M. Whitney, 1996
Hartertula Stresemann, 1925
Oxylabes Sharpe, 1870
Randia Delacour & Berlioz, 1931
Thamnornis Milne-Edwards & A. Grandidier, 1882
Xanthomixis Sharpe, 1881

Spishi: Angalia katiba.

Kucha-bukini ni ndege wadogo wa familia Bernieriidae. Wanafanana na kucha na zamani waliainishwa katika familia kadhaa kama Pycnonotidae, Sylviidae na Timaliidae. Wana rangi ya majani au ya zaituni juu na nyeupe, njano na/au rangi ya machungwa chini. Wanatokea Madagascar tu katika misitu ya mvua au savana kavu. Hula wadudu.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]