Rama Brew

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rama Brew
Amezaliwa Rama Brew
Kazi yake Mwigizaji, mtangazaji wa televisheni na mwanamuziki wa jazz
Miaka ya kazi 1971, hadi sasa

Rama Brew ni mwigizaji wa zamani nchini Ghana, mtu wa televisheni na mwanamuziki wa jazz. [1][2]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Kama mtoto Rama alitaka kuwa mcheza muziki lakini baba yake hakuridhia. Alitambulishwa na shangazi yake katika televisheni ya Ghana Broadcasting Corporation(GBC).[3]

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Rama Brew ana mtoto mmoja wa kike anaejulikana kama Michelle Attoh ambae pia ni Mwigizaji .[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Rama Brew Tells Youth To Be Wary Of Showbiz, Also Asks Actors' Guild To Protect Artistes. Modern Ghana. Iliwekwa mnamo 31 August 2017.
  2. Yaob. Mother of Ghollywood- Rama Brew. modernghana.com. Iliwekwa mnamo 4 September 2017.
  3. Rama Brew Tells Youth To Be Wary Of Showbiz, Also Asks Actors' Guild To Protect Artistes. The African dream. Iliwekwa mnamo 4 September 2017.
  4. I played ‘Chaskele’ growing up – Actress/TV Host Michelle Attoh (2015-07-19). Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-09-05. Iliwekwa mnamo 2023-10-28.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rama Brew kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.