Nenda kwa yaliyomo

Ramón Sánchez Pizjuán

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Huu ni uwanja Ramón Sánchez Pizjuán.

Ramón Sánchez Pizjuán alikuwa rais wa zamani wa klabu ya mpira wa miguu ilioko Seville, Hispania, ambaye alitumikia Sevilla FC kwa miaka kumi na saba katika karne ya 20 na alisaidia katika ujenzi wa uwanja wa nyumbani wa klabu hiyo.

Uwanja huo umeitwa jina lake.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ramón Sánchez Pizjuán kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.