Nenda kwa yaliyomo

Kiluwiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Rallus)
Kiluwiri
Kiluwiri mweusi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Gruiformes (Ndege kama korongo)
Familia: Rallidae (Ndege walio na mnasaba na viluwiri)
Rafinesque, 1815
Ngazi za chini

Jenasi 29:

Viluwiri ni ndege wa jenasi mbalimbali za familia ya Rallidae. Spishi za jenasi Rallus zinaitwa kibilinzi pia. Viluwiri wa Afrika wana rangi zilizofifia na hawaoneki rahisi wotoni, lakini husikika mara zaidi. Wana domo refu, miguu myembamba na vidole virefu. Spishi nyingi zaidi zinatokea karibu na maji, mabwawani au nyikani majimaji ambapo hula wadudu na wanyama wadogo wa maji na wa matope. Kwa kawaida tago lao limefanyika kwa mimea ya maji kwa umbo wa bakuli mahali pakavu katika bwawa na huyataga mayai 2-12.

Spishi za Afrika

[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine

[hariri | hariri chanzo]

Spishi za kabla ya historia

[hariri | hariri chanzo]
  • Gallirallus epulare (Nuku Hiva Rail)
  • Gallirallus gracilitibia (Ua Huka Rail)
  • Gallirallus huiatua (Niue Rail)
  • Gallirallus ripleyi (Mangaia Rail)
  • Gallirallus roletti (Tahuata Rail)
  • Gallirallus storrsolsoni (Huahine Rail)
  • Gallirallus vekamatolu (‘Eua Rail; ndege wa kufanana ameoneka kisiwani kwa Vava‘u mwaka 1793)
  • Gallirallus cf. owstoni (Marianas Rail)
  • Gallirallus sp. (New Ireland Rail)
  • Gallirallus sp. (Norfolk Island Rail; ameendelea kuishi labda mpaka karne ya 19)
  • ?Gallirallus sp. (Hiva Oa Rail)
  • Porzana estramosi (Sajóvölgyi, Hungaria, mwisho wa Miocene)
  • Porzana keplerorum (Small Maui Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana menehune (Liliput Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana piercei (Shore Hills, Bermuda, mwisho wa Pleistocene)
  • Porzana ralphorum (Great O‘ahu Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana rua (Mangaia Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana severnsi (Great Maui Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana ziegleri (Small O‘ahu Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana sp. (Easter Island Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana sp. (Great Big Island Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana sp. (Great Kaua‘i Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana sp. (Huahine Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana sp. (Mangaia Crake #2; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana sp. (Marquesas Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana sp. (Marianas Crake (labda spishi 2); mwisho wa Quaternary)
  • Porzana sp. (Medium Kaua‘i Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana sp. (Medium Maui Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana sp. (Small Big Island Crake; mwisho wa Quaternary)
  • Porzana cf. flaviventer (Bermuda)
  • Rallus auffenbergi (kusini-mashariki ya Amerika ya Kaskazini, kati ya Pleistocene) - zamani Porzana
  • Rallus eivissensis (Ibiza Rail; mwisho wa Quaternary)
  • Rallus ibycus (Shore Hills, Bermuda, mwisho wa Pleistocene)
  • Rallus lacustris (kati ya Amerika ya Kaskazini, mwisho wa Pliocene)
  • Rallus natator (Pango la San Josecito, Mexico, Pleistocene) - zamani Epirallus
  • Rallus phillipsi (Wickieup, MMA, mwisho wa Pliocene)
  • Rallus prenticei (kati ya Amerika ya Kaskazini, mwisho wa Pliocene)
  • Rallus recessus (St Georges, Bermuda, mwisho wa Pleistocene)
  • Rallus richmondi - pamoja na R. dubius
  • Rallus sp. (Sajóvölgyi, Hungary, kati ya Miocene)
  • Rallus sp. (Rexroad, MMA, mwisho wa Pliocene)