Rada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

<div class="thumb tright" style="width: Expression error: Unrecognized punctuation character "[".px; ">

A long-range radar antenna, known as ALTAIR, used to detect and track space objects in conjunction with ABM testing at the Ronald Reagan Test Site on Kwajalein Atoll.
Rada ya mbali sana.
Israeli military radar is typical of the type of radar used for air traffic control. The antenna rotates at a steady rate, sweeping the local airspace with a narrow vertical fan-shaped beam, to detect aircraft at all altitudes.
Rada nyingine.

Rada ni mfumo unaotumia mawimbi ya redio kutambua vitu na vyombo mbalimbali kwa kuangalia mambo kama aina, mwelekeo, kasi n.k.

Rada hutumika kuchunguza ndege, meli, roketi, magari, hali ya hewa, n.k.

Mfumo wa rada unatumia transimita kuzalisha mawimbi ya umeme na sumaku aina ya redio na antena ya kurusha na antena ya kupokea (mara nyingi antena hiyohiyo hutumika kwa kurusha na kupokea) na chombo cha kupokea na kutafsiri kitu kinachochunguzwa.

Rada iliundwa na mataifa kadhaa kwa siri kwa matumizi ya kijeshi katika kipindi cha kabla na wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]