Nenda kwa yaliyomo

Rachel Cargle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rachel Cargle ni Mmarekani mweusi, mwandishi, mzungumzaji na mwanaharakati wa nchini Marekani, anajulikana kwa kuhusika kwake katika upingaji wa ubaguzi wa rangi .

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Cargle alilelewa huko Green, Ohio na mama yake, ambaye alikua na ugonjwa wa kupooza (polio) . Baba yake alifariki alipokuwa mdogo. [1] Wakati wa utoto wake, Cargle alicheza soka na alikuwa msichana wa skauti . [2] Cargle na mama yake waliishi katika nyumba namba 8 katika kitongoji tajiri, ambapo alisema ilimfanya afahamu tofauti za kiuchumi kati yake na wenzake wazungu. [2]

  1. "I Refuse to Listen to White Women Cry", September 11, 2019. Retrieved on 22 June 2020. 
  2. 2.0 2.1 "'Dear White Women': The Public Classroom of Rachel Cargle", June 18, 2020. Retrieved on 22 June 2020. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rachel Cargle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.