Nenda kwa yaliyomo

Hot R&B/Hip-Hop Songs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka R&B/Hip-Hop Songs)

R&B/Hip-Hop Songs (zamani iliitwa Black Singles Chart) ni chati inayotolewa kila wiki na Billboard huko nchini Marekani.

Chati hii ilianzishwa mnamo mwaka wa 1942, inatumika kufuatilia mafanikio ya nyimbo maarufu katika maeneo ya mijini, au hasa kumbi za wale Waafrika-Waamerika. Ilifunika kwa miaka mingi kwenye aina ya muziki mbalimbali kama vile jazz, rhythm na blues, rock and roll, doo wop, soul, na funk, na leo hii imefunikwa na contemporary R&B na hip hop.

Takwimu za chati

[hariri | hariri chanzo]
  • Wsanii wenye kushika sana nafasi ya kwanza ya vibao vikali Hot R&B:
1. Aretha Franklin - 20
2. Stevie Wonder - 19
3. Louis Jordan - 18
4. James Brown - 17
5. Janet Jackson - 16
6. The Temptations - 14
7. Michael Jackson - 13 (tie)
7. Marvin Gaye - 13 (tie)
9. R. Kelly - 11
10. Mariah Carey - 10 (tie)
10. Whitney Houston - 10 (tie)
10. Gladys Knight & the Pips - 10 (tie)
10. Kool & the Gang - 10 (tie)
10. The O'Jays - 10 (tie)

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hot R&B/Hip-Hop Songs kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.