Nenda kwa yaliyomo

Protasi wa Lausanne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Protasi wa Lausanne (pia: Protais, Prothasius, Prex; 640 - 699) alikuwa askofu wa Lausanne, leo nchini Uswisi [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Novemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92893
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  • Gian Franco Schubiger, Saints, martyrs et bienheureux en Suisse, Saint-Maurice, Éditions Saint-Augustin, novembre 1999, 218 p. (ISBN 2-88011-158-7), p. 47.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.