Pia-Sophie Wolter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pia-Sophie Wolter

Pia-Sophie Wolter (alizaliwa 13 Novemba 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama kiungo katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani na timu ya taifa ya wanawake nchini Ujerumani.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. , WorldFootball.net
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pia-Sophie Wolter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.