Philippus Mwarabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Marcus Julius Philippus (takriban 204 – Aprili/Mei 249) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Februari 244 hadi kifo chake. Alimfuata Gordian III. Aliitwa Mwarabu kwa vile alizaliwa katika jimbo la Syria karibu na mji wa Damaskus na wazazi Waarabu.

She-wolf suckles Romulus and Remus.jpg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Philippus Mwarabu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.