Nenda kwa yaliyomo

Philip Leakey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Philip Leakey (alizaliwa Nairobi, 21 Juni 1949) ni mwanasiasa wa zamani wa Kenya.

Alikuwa mbunge wa kwanza Mzungu katika bunge la Kenya tangu uhuru.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Philip Leakey: poster boy for a question-driven life". The Seattle Times (kwa American English). 2011-08-19. Iliwekwa mnamo 2022-08-23.
  2. Kenya Times, December 11, 2005: "MP talks of plot to arrest Raila". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 15, 2005. Iliwekwa mnamo 2007-03-03.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link) CS1 maint: date auto-translated (link)