Nenda kwa yaliyomo

Parc des Princes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Parc des princes.

Parc des Princes (matamshi ya Kifaransa: [paʁk de pʁɛs], ni uwanja wa soka wa kila ngazi huko Paris, Ufaransa. Uwanja huu uko kusini-magharibi mwa mji mkuu wa Ufaransa, karibu na Stade Jean-Bouin (ukumbi wa rugby).

Uwanja huu una uwezo wa kubeba watazamaji 47,929, imekuwa uwanja wa nyumbani wa Paris Saint-Germain tangu mwaka 1974. Kabla ya ufunguzi wa Stade de France mwaka 1998.

Parc des Princes ina taasisi nne za kuketi, ambazo zinajulikana kama Presidentielle Francis Borelli, Auteuil, Paris na Boulogne Stands.

Parc des Princes ni uwanja wa 28 kwa ukubwa duniani.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Parc des Princes kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

.