PES 2016

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chapa ya PES 2016
Chapa ya PES 2016

PES 2016 (kwa kirefu Pro Evolution Soccer) ni mchezo wa kompyuta wa soka ulioandaliwa na PES Productions na uliochapishwa na Konami kwa Microsoft Windows, PlayStation 3, ''PlayStation 4'', Xbox 360, na Xbox One.

Ni toleo la kumi na tano la mfululizo wa Pro Evolution Soccer na alama ya PES Productions mwaka wa 20 wa kuzalisha michezo ya soka.

Kifuniko cha kasha la mchezo ni mchezaji Neymar (amevaa jezi lake la taifa la Brazil).

Jina la mchezo limebadilishwa kutoka Soko la Dunia.