Xbox 360

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya vifaa vya Xbox 360

Xbox 360 ni tawi la PSP lililoendelezwa na Microsoft. Kama mrithi wa Xbox ya awali, ni aina ya pili katika mfululizo wa Xbox. Ilifunguliwa rasmi kwenye MTV Mei 12 2005, kwa uzinduzi wa kina na habari za mchezo zilizotangazwa baadaye mwezi huo mwaka wa 2005 wa E3.Xbox 360 ilitolewa Novemba 22, 2013.Mnamo Aprili 20 2016, Microsoft ilitangaza kwamba itafanya uzalishaji wa vifaa vya Xbox 360 upya.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Xbox 360 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.