Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya spishi za jenasi Desmodium

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Desmodium
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
Oda: Fabales
Familia: Fabaceae
Nusufamilia: Faboidae
Jenasi: Desmodium
Ngazi za chini

Spishi nyingi.

Desmodium ni jenasi kubwa ya mimea jamii ya mikunde katika familia Fabaceae (kabila Desmodieae). Hii ni orodha ya spishi katika jenasi Desmodium kutoka kwa kanzidata ya Mimea ya Ulimwenguni ya Kew kama ilivyosomeka hadi Januari 2020 [1] pamoja na vyanzo vingine:

  1. "Desmodium Desv". Plants of the World Online. Royal Botanic Gardens, Kew. Iliwekwa mnamo 20 Januari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)