Orodha ya milima ya New Zealand
Mandhari
Orodha ya milima ya New Zealand inataja baadhi yake tu.
Milima mirefu zaidi iko yote katika kisiwa cha kusini, nayo ni:
- Aoraki (Mlima Cook) – m 3,754 - mlima mrefu kuliko yote ya New Zealand
- Mlima Tasman – m 3,497
- Mlima Dampier – m 3,440
- Mlima Vancouver – m 3,309
- Mlima Silberhorn – m 3,300
- Malte Brun – m 3,198
- Mlima Hicks – m 3,198
- Mlima Lendenfeld – m 3,194
- Mlima Graham – m 3,184
- Torres Peak – m 3,160
- Mlima Sefton – m 3,151
- Mlima Teichelmann – m 3,144
- Mlima Haast – m 3,114
- Mlima Elie de Beaumont – m 3,109
- Mlima La Perouse – m 3,078
- Mlima Douglas – m 3,077
- Mlima Haidinger – m 3,070
- Mlima Magellan – m 3,049
- Mlima Malaspina – m 3,042
- Mlima Minarets – m 3,040
- Mlima Tititea (Aspiring) – m 3,033
- Mlima Hamilton – m 3,025
- Mlima Dixon – m 3,004
- Mlima Glacier – m 3,002
- Mlima Chudleigh – m 2,966
- Mlima Haeckel – m 2,965
- Mlima Drake – m 2,960
- Mlima Darwin – m 2,952
- Mlima Aiguilles Rouges – m 2,950
- Mlima De La Beche – m 2,950
Milima mingine maarufu ni:
- Mlima Tapuaenuku – m 2,884 katika milima ya Kaikoura - mrefu kuliko yote nje ya Alpi ya Kusini[1]
- Mlima Alarm – m 2,877 – katika milima ya Kaikoura
- Mlima Ruapehu – m 2,797 - mlima mrefu zaidi katika kisiwa cha kaskazini[1]
- Mlima Musgrave – m 2,085